Friday, August 9, 2013

WANAFUNZI WALIOCHAGULLIWA KUJIUNGA NA VYUO VYA MIFUGO NA UVUVI MWAKA 2013/2014JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI
WAKALA WA VYUO VYA MAFUNZO YA MIFUGO (LITA)
TANGAZO LA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KAMPASI ZA
WAKALA WA VYUO VYA MAFUNZO YA MIFUGO (LITA) KWA MWAKA WA MASOMO 2013 / 2014

MAELEKEZO MUHIMU
·       Wanafunzi wote waliochaguliwa wanatakiwa kufika kwenye Kampasi husika tarehe 01/ 09 / 2013 kabla ya saa 12 jioni
·       Masomo yataanza rasmi tarehe 02 / 09 / 2013. 
·       Mwisho wa kuripoti vyuoni ni tarehe 15 / 09 / 2013
. Kupata majina ya waliochaguliwa na maelezo ya kujiunga na chuo (joining instructions) wasiliana na Kaimu Mkurugenzi wa Kampasi husika au tembelea tovuti ya Wizara www.mifugouvuvi.go.tz /Oranization structure - Agencies - LITA)
·       Wale ambao majina yao hayako kwenye orodha hii wajue kuwa hawakuchaguliwa.

· ADA: Watakaofadhiliwa na Serikali  na wanaojilipia wanatakiwa kulipa kwa mikupuo miwili kupitia akaunti ya Wakala : LITA Revenue Account, NMB Wami, Morogoro,
 Acc. No. 22110003142

VYUO VYA MIFUGO VYOTE BOFYA HAPA!VYUO VYA UVUVI 
Wizara ya Maendeleo na Mifugo na Uvuvi inatangaza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya Uvuvi kamapasi mbali mbali.  
Nyegezi kampasi bofya hapa!
Mwanza  south kampasi  bofya hapa!
Kigoma kampasi bofya hapa!
Mbegani kampasi bofya hapa!

0 Maoni:

Post a Comment