Wednesday, July 24, 2013

WALIOITWA KWENYE USAILI FURSA ZA AJIRA KWA TANGAZO LILILOTOLEWA TAREHE 26/03/2013.

KUITWA KWENYE USAILI 
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawatangazia waombaji wa fursa za ajira kwa tangazo lililotolewa tarehe 26/03/2013 kuwa wamechaguliwa kufanya usaili, hivyo waendelee kujiandaa. Usaili huo utahusisha kada zifuatazo;

 Mtendaji wa kijiji III,Mtendaji wa Mtaa III, Afisa Usajili Msaidizi, Mvuvi Msaidizi, Fundisanifu Msaidizi Maji, Fundisanifu II bomba, Polisi msaidizi, Fundisanifu Msaidizi Umeme, Katibu Mahsusi III, Fundisanifu II Uchapaji Ramani, Fundisanifu Msaidizi Bomba, Msaidizi Wa Ofisi, Msaidizi Misitu II, Fundisanifu II Ramani, Fundisanifu II Maendeleo ya jamii, Opareta Wa Kompyuta Msaidizi, Mtendaji wa Kata III, Fundisanifu II Ufundi Na Umeme, Dereva II, Dereva Wa Mitambo II, Afisa Biashara Msaidizi II, Mpigachapa Msaidizi, Fundisanifu Maabara II, Afisa Mtendaji wa Kijiji II na Mlinzi. 

RATIBA RASMI YA USAILI ITATOLEWA BAADAE IKIONESHA MAHALI, MUDA NA TAREHE YA KUFANYIKA USAILI HUSIKA 


Kufungua majina yote BOFYA HAPA(pdf)

0 Maoni:

Post a Comment