Sunday, June 17, 2012

NAFASI ZA KUJIUNGA NA JESHI LA POLISI KWA WANAOMALIZA VYUO (UNDERGRADUATES)Jeshi la polisi Tanzania limetoa nafasi  kwa wanaomaliza vyuo (undergraduate) mwaka huu wanaopenda kujiunga nalo.

Tahadhari iliyotolewa:
1)      Usijaze fomu ya kujiunga kama unamatatizo yoyote ya kiafya au kimwili(physical disability)ambayo yanaweza kuwa kizuizi katika kupata kozi mbalimbali za polisi au kufanya kazi.
2)      Fomu zijazwe na wahitimu wa mwaka huu(2011/2012) pekee na si wengineo.


Form ya kujiunga na Jeshi la Polisi BOFYA HAPA1 Maoni:

  1. Ni fursa nzuri kwa waqhitimu wetu wanaopenda kujiunga na jeshi la polisi. Changamoto inakuja kwa walio wengi ambao wako vijijini wasioweza kufikiwa na fursa ya kusoma mitandao. Naomba tangazo hili litolewe pia katik a vyombo vya habari hususan redio ambazo husikilizwa na wengi. Judith

    ReplyDelete