Thursday, May 10, 2012

WAKUU WA WILAYA ZA MKOA WA NJOMBE(MAJINA NA PICHA)

 Mkuu wa wilaya ya Njombe, Sarah Dumba

 Mkuu wa wilaya ya Wanging'ombe, Esterina Kilasi

 Mkuu wa wilaya ya Ludewa, Juma Madaha
Jana yametangazwa majina 70 ya wakuu wa wilaya wapya na majina 63 ya wakuu wa wilaya wa zamani pamoja na vituo vyao vya kazi(wilaya waendazo).Mtandao huu wa Makambako kwetu Blog umekuchambulia majina ya wakuu wa wilaya nne(4) zilizomo ndani ya mkoa wa Njombe ambazo ni Njombe, Ludewa, Wanging'ombe(mpya) na Makete.

Mtandao huu unawakaribisha wakuu wa wilaya nne zilizomo ndani ya mkoa wa Njombe ili kwa pamoja tusaidiane katika kulisukuma gurudumu la maendeleo. 

NA
JINA LA MKUU WA WILAYA
KITUO CHA KAZI
1
Sarah Dumba
Njombe
2
 Esterina Kilasi
Wanging’ombe
3
Josephine R. Matiro
Makete
4
Juma S. Madaha
Ludewa

0 Maoni:

Post a Comment